Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tyla akimbiza Mastaa wakubwa Afrika kwenye Digital Platforms

Tyla 110723 625bb93003a94fd7b88a64e11d58ae11 Msanii wa Afrika Kusini, Tyla

Mon, 20 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Afrika Kusini, Tyla amekuwa msanii wa Kiafrika aliyesikiszwa zaidi kwenye mtandao wa mziki wa Spotify, na kuwapiku Rema, Burnaboy na Davido.

Pia, wimbo wake wa Water, umetazamwa zaidi ya milioni 170 kwenye YouTube, huku densi na ngoma yake ya kuandamana ikawa maarufu zaidi kwenye TikTok.

Pia ilimpatia Tuzo ya Grammy ya “Best African Music Performance” – ikiwa ni ya kwanza katika kitengo chake kwenye Tuzo za Grammys.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live