Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tyla afunguka kufananishwa na Rihanna

Tyla Na Rihanna.png Tyla afunguka kufananishwa na Rihanna

Thu, 2 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshindi wa Tuzo ya Grammy Africa tyla ametia neno watu kumfananisha kimuziki na kimuonekano na staa mkubwa wa muziki na bilionea Rihanna

Mwanamuziki huyo kutoka South Africa Tyla anasema inapendeza kufananishwa na Rihanna kwa sababu watu watazidi kumjua yeye na muziki wake.

“Inapendeza kwa sababu Rihanna ni Rihanna. Ni pongezi lakini wakati huo huo nina usanii wangu mwenyewe. Mimi ni Tyla na najua watu wanavyozidi kunifahamu na muziki wangu wataniona kama Tyla tu. Kwa hivyo niko sawa nayo sasa” amesema Tyla

Tyla amefunguka hilo kupitia jarida la #Cosmopolitan ambalo linadili ni chapa (Brand) kubwa zaidi ya vyombo vya habari vya wanawake vijana ulimwenguni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live