Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tyla aachia remix ya 'Water' ya Travis Scott

Tyla Msa.jpeg Tyla aachia remix ya 'Water' ya Travis Scott

Tue, 19 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwimbaji kutoka Afrika kusini Tyla ameachia video ya remix ya "Water" aliyomshirikisha Travis Scott.

Mwimbaji kutoka Afrika kusini Tyla ameachia video ya remix ya "Water" aliyomshirikisha Travis Scott. Wimbo huu ni moja nyimbo zitakazokuwa kwenye album yake ya kwanza inayotarajiwa kutoka ijumaa hii machi 22, Albamu ambayo ilitanguliwa na nyimbo kama "Water", "On and On" na "Truth or Dare," pamoja na "Butterflies".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live