Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tyla: Tems Baby amefungua milango kwa Wasanii

Tyla Tems Baby Tyla: Tems Baby amefungua milango kwa Wasanii

Sun, 21 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka nchini Afrika Kusini #Tyla amempongeza na kumsifia msanii mwenzake kutoka Nigeria Tems Baby kuwa anakipaji kikubwa na amefungua milango kwa wasanii wengine.

Tyla ameyasema hayo kupitia moja ya mahojiano yake na chombo kimoja Cha habari huku akieleza kuwa ni heshima kufanya naye kazi.

Tyla ambaye amewahi kuwa mshindi wa Tuzo za Grammy mwaka huu kupitia wimbo wake wa ‘Water’ amefurahia kufanya wimbo pamoja na Tems Baby.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live