Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tyga na mzazi mwenzie wamaliza tofauti

Tyga Na Mzazi Mwenzie Wamaliza Tofauti.jpeg Tyga na mzazi mwenzie wamaliza tofauti

Sat, 9 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Imeripotiwa kuwa Mastaa #Tyga na Mzazi mwenzie #BlackChyna wamesuluhisha mzozo wao wa miaka mingi wa kumlea mtoto wao, #KingCairo na #Tyga hatalazimika kulipa karo ya watoto.

Imeripotiwa kuwa Mastaa #Tyga na Mzazi mwenzie #BlackChyna wamesuluhisha mzozo wao wa miaka mingi wa kumlea mtoto wao, #KingCairo na #Tyga hatalazimika kulipa karo ya watoto. Vyanzo vilivyo na ufahamu wa moja kwa moja wa suluhu hiyo vinasema wazazi wote wawili wamekuja kwenye mpango wa pamoja , watakuwa na ulinzi wa pamoja wa kisheria na wote wawili watakuwa na haki ya kufanya maamuzi kuhusu afya, elimu ya mtoto wa miaka 11. na ustawi wa jumla. . #BlackChyna alisema kuwa licha ya kuuza vitu vyake ikiwa ni pamoja na nguo, mikoba na viatu na kutengeneza $178K zaidi ya TSH.Milioni 446 lakini hazikutosha kumuhudumia mtoto bado alihitaji pesa kutoka kwa #Tyga za kusaidia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live