Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tyga anasa kwenye penzi la mrembo huyu

Tyga  X Arvil Tyga anasa kwenye penzi la mrembo huyu

Wed, 8 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tyga na Avril Lavigne wauzika uvumi, rasmi wathibitisha uhusiano wao kwa busu la hadharani Jijini Paris Ufaransa.

Wawili hao walianza kuonekana karibu kuanzia mwezi uliopita na kuzua minong'ono kwa mashabiki

Lavigne (38) ni Mwanamuziki na Mwandishi wa nyimbo toka nchini Canada. Chanzo kimoja kililiambia Jarida la PEOPLE kwamba Avril Lavigne alilivua pendo la Mod Sun kwa uchumba wao kuvunjika mwezi uliopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live