Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ty Dolla na Kanye watangaza kufanya onesho la pamoja

Ty Dolla Na Kanye Watangaza Kufanya Onesho La Pamoja Ty Dolla na Kanye watangaza kufanya onesho la pamoja

Tue, 24 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani, Ty Dolla Sign na Kanye West wametangaza kufanya onesho la usikilizaji wa album yao mpya inayotarajia kufanyika Novemba 3, mwaka huu 2023.

Licha ya kutoa tamko hilo tarehe rasmi ya kuachia album hiyo haijatangazwa ambapo ilitakiwa itoke tangu Oktoba 13, mwaka huu lakini kutokana na wasambazaji wengi kuikwepa kuisambaza album hiyo.

Ikumbukwe hivi karibuni #album hiyo liligomewa kusambazwa na ‘lebo’ mbambali nchini humo kwasababu ya kauli tata za #Kanye dhidi ya #wayahudi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live