Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Twitter yaondoa utambulisho wa aina ya simu kwa watumiaji wake

Twitter Phone Twitter yaondoa utambulisho wa aina ya simu kwa watumiaji wake

Sat, 17 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtandao wa Twitter rasmi umeondoa utambulisho wa vifaa vya simu chini ya Tweet za watumiaji wake.

Sasa hautaweza tena kuona (Tweet for iPhone au Tweet for Android) kwenye Tweets. Uamuzi huu umekuja mara baada ya mmiliki mpya Elon Musk kushika hatamu.

Mwezi November mwaka huu Elon Musk alitangaza kuwa atafanya mabadiliko hayo kutokana na kuwa utambulisho huo unafinya nafasi “Waste of screen space” na hakuna anayefahamu sababu ya kwanini utambulisho huo uliwekwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live