Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Twiiter waifunga akaunti ya Kanye West

Kanye West Yeee.png Twiiter wamfungia akaunti Kanye West

Fri, 2 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Twitter imefunga akaunti ya rapa maarufu duniani, Kanye West leo Deseaba 2, 2022 kufuatia maudhui aliyokuwa ameyaweka ambayo yalionekana kuwa ni ya kichochezi.

Mkurugenzi Mkuu wa Twitter, Elon Musk amesema kuwa rapa huyo kwa mara nyingine tena amekiuka sheria dhidi ya uchochezi wa ghasia ndio maana akaunti yake ikafungiwa.

Msanii huyo ambaye si mgeni katika suala zima la mabishano aliweka picha yenye ishara ya dini ya Kiyahudi iliyoonyesha kuwa na mlengwa wa kichochezi

Chanzo: www.tanzaniaweb.live