Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Twiga afa saa chache baada ya msimamizi wake kufariki

Riste TrajkovskiRiste Trajkovski Twiga afariki saa chache baada ya msimamizi wake kufariki

Mon, 22 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Twiga aliyefahamika kwa jina la Floppy amekufa baada ya msimaminzi wake aitwaye Riste Trajkovski (44) kufariki huku chanzo cha kifo cha Twiga huyo bado hakijafahamika.

Twiga aliyefahamika kwa jina la Floppy amekufa baada ya msimaminzi wake aitwaye Riste Trajkovski (44) kufariki huku chanzo cha kifo cha Twiga huyo bado hakijafahamika. Riste Trajkovski, alifariki asubuhi siku mbili zilizopita huku Twiga huyo akichukuu saa chache kufa, Floppy alikuwa chini ya uangalizi wa Riste kwa miaka 12 katika Bustani ya Wanyama ya Skopje.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live