Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tuzo kubwa anazomiliki Burna Boy mpaka sasa

Burnaboy Trse Burna Boy

Fri, 30 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii kutokea kipande cha Nigeria ameendelea kujizolea umaarufu mkubwa katika Muziki wake, kwani Ubora wake umedhidi kudhihirika maradufu ya vile ilivyochukuliwa hapo awali, muziki wake umekuwa ukipendwa na kufuatiliwa na wafuasi wengi ambao wanampa nafasi kubwa ya kusikika sehemu kubwa ya Dunia.

Kupitia uwezo wa kipaji alichonacho, ameweza pata nafasi ya kushinda vinyang’anyilo vingi vya Tuzo katika matoleo tofauti.

Hadi sasa Burna Boy ni miongoni mwa Wasanii wenye Tuzo nyingi zaidi Barani Afrika akitokea ukanda wa Magharibi

Burna Boy ana tuzo 1 Grammy, 4 BET Awards, 3 MOBO Awards, 2 MTV EMAs, 1 Edison Award, 1 NME Award, 4 AFRIMA, 3 AFRIMMA, 5 Headies, 2 IRAWMA, 3 Ghana Music Awards, 8 SoundCity MVP Awards, 2 Nigerian Entertainment Awards, 1 South South Music Award, 1 Galaxy Music Award, 1 HiPipo Award.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live