Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tunda amvaa Whozu amtaka akome kumzungumzia

Tunda Amvaa Whozu Amtaka Akome Kumzungumzia Tunda amvaa Whozu amtaka akome kumzungumzia

Wed, 28 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya DSTV kurusha Teaser ya kipindi cha Wana wa Town kinachomuhusisha Whozu ni kama mama wa mtoto wake Tunda hajafurahishwa na yale mambo ambayo Dingoo ameyaongelea humo ndani huku akimtaka aache kabisa kumuongelea kwani yeye pia akiamua kumuongelea itakuwa balaa.

Tunda ameandika maneno mengi sana kupitia Ista story katika ukurasa wake Instagram kumkanya Baba mtoto wake na kumpa taarifa kwamba anavoendelea kumzungumzia Ex wake (Ally) kuhusu kumpiga akija kumpiga tena asije kulalamika Instagram.

Kwenye tiza hiyo, Whozu amesikika akizungumzia mahusiano yake na Tunda yalivyokuwa na jinsi ambavyo yeye alikuwa akiiba penzi na kulikuwa na mwanaume mwingine huyo Ally ambaye aliwahi kumtumia vijana wamdunde baada ya kugundua analala na Tunda.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live