Baby wa Mama msanii Whozu, Tumda Cappuccino ameshea experience yake kuhusu tukio la kushikiwa bastola na kupigwa kwenye mahusiano aliyokuwepo baada ya tukio la Swalha kupigwa risasi na mume wake jijini Mwanza.
Tunda bila kumtaj mpenzi wake aliyemfanyia kitendo hicho amesema; "Nilishawahi kuwa kwenye mahusiano ambayo nikikosea kitu hata kama sio kikubwa cha kuongea tu au alikua akihisi tu kitu ninapigwa hadi nashikiwa bastola, sio mara moja wala mara mbili"
"Mimi ni muoga sana ilinipelekea kuacha kila kitu na mapenzi yote niliyokuwa nayo lakini nikaona hapana inabidi nitoke huku hiki ni kifo," amesema Tunda.