Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tumetengeneza hits nyingi mwaka huu - Marioo

Marioo Abby Chams Ers.jpeg Tumetengeneza hits nyingi mwaka huu - Marioo

Fri, 6 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

They call him Toto Bad kutoka record label ya Bad Nation TZ Marioo amefunguka kuwa mwaka huu ametengeneza Hits song nyingi na lazima amalize kwa kuongeza kuongeza Hits nyingine kwenye level hiyo.

They call him Toto Bad kutoka record label ya Bad Nation TZ Marioo amefunguka kuwa mwaka huu ametengeneza Hits song nyingi na lazima amalize kwa kuongeza kuongeza Hits nyingine kwenye level hiyo. "Aweee kulaanina! Huu mwaka tumetia hits nyingi sana kwa hiyo lazima tumalize na moto huu huu no way..." ameandika Marioo kupitia page yake ya Instagram

Chanzo: www.tanzaniaweb.live