Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Tumefanya Vanessa kauchukia muziki" - Chidi Benz |

Chid "Tumefanya Vanessa kauchukia muziki" - Chidi Benz |

Fri, 9 Jul 2021 Chanzo: eatv.tv

Ni maoni ya msanii wa HipHop Chidi Benz 'King Kong' kuhusu suala la Vanessa Mdee kutangaza kuachana na masuala ya muziki ambapo anadai watanzania ndio wamemfanya msanii huyo kuuchukia muziki.

Submitted by Shaluwa Anta on Ijumaa , 9th Jul , 2021 Picha ya msanii Chidi Benz na Vanessa Mdee

Chidi Benz ametoa comment yake hiyo kupitia page yake ya Instagram baada ya kumpost Vanessa Mdee kisha kuandika  "Sema Tanzania nayo, from no where tumefanya my sister Vannesa Mdee kauchukia muziki, Ilikua tunahitaji sana vitu kutoka sauti ile, sijui wengineo".

Siku za hivi karibuni msanii huyo wa HipHop amekuwa akitoa maoni na mitazamo kadhaa kwenye ukurasa wake wa Instagram kuhusu masuala mbalimbali ya muziki, wasanii na tuzo.

Chanzo: eatv.tv