Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tukio la Mbosso Mwembe Yanga lamstaajabisha G Nako

2662 Sequence 01.Still047 TZW

Tue, 6 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Jumapili ya February 4,2018 team ya WCB iliahidi kufanya show katika viwanja vya Mwembe Yanga Dar Es Salaam kwaajili ya utambulisho wa Mbosso kama msanii mpya WCB na hakika mashabiki walijaa kutoa support.

Katika tasnia ya muziki Tanzania imeonekana kuwa ngumu kwa wasanii kusifiana pale mmoja anapofanya kitu kizuri katika sanaa ya muziki ila kwa upande wa G Nako kutoka WEUSI amefurahishwa na kile ambacho WCB walifanya.



Kupitia instagram account ya G Nako amepost video ya show hiyo iliyofanyika Jumapili ya February 4,2018 na kuandika caption inayosema



HII NI TASWIRA NZURI KWA MZIKI WETU SAFI SANA

Chanzo: millardayo.com