Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tuerny afunguka ukaribu wake na Davido

Davido Na Tuerny Tuerny afunguka ukaribu wake na Davido

Thu, 20 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mrembo maarufu wa Bongo, Tuerny amefunguka kuwa yeye na Davido ni marafiki wa muda mrefu na hawajawahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi.

Tuerny amefunguka hayo kupitia Wasafi FM hivi karibuni ambapo alisema, walianza kuwasiliana tangu mwaka 2013/14 ambapo staa huyo kutoka Nigeria alianza kumcheki kupitia Insta Masage.

“Urafiki ulianza. Sijawahi kudate naye, ashaniita Nigeria, Sauz Afrika. Tushaingia Insta Live nadhani kila mtu aliona. Alianza kunichek, akaniambia tufanye video.

Nikamkatalia, sababu mimi nilikuwa nataka kufanya video zangu mimi mwenyewe na sio za mtu,” alisema Tuerny.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live