Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Trending Fashion ya wasanii kuvaa mabwanga

Jux Mks Trending Fashion ya wasanii kuvaa mabwanga

Mon, 13 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Moja kati ya Trending Fashion za wasanii kwa sasa ni kuvaa mabwanga 'Oversize' flani hivi kwenye mitupio yao, mitoko, wakiwa kwenye shows, Special Appearance, Location wana-shoot na matukio mengine ya burudani.

Kwa mfano Bwanga hilo alilovaa African Boy Juma Jux ambalo anasema analigawa kwa sababu anayo mawili.

"Ndugu zangu nani anataka hii jeans ninazo mbili?," amesema Juma Jux.

Unaweza kuvaa bwanga hilo la Jeans kwenye mitoko yako?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live