Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Travis amtunuku mfanya usafi milioni 10

Travis Scott Concert 02 Travis amtunuku mfanya usafi milioni 10

Wed, 31 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kama ilivyokawaida kwa wasanii kutoka nchini Marekani kuwathamini mashabiki zao na hii imetokea tena kwa ‘Rapa’ Travis Scott ambapo alitoa pesa kiasi cha dola 5,000 ikiwa ni zaidi ya tsh 10 milioni, kwa shabiki.

Kama ilivyokawaida kwa wasanii kutoka nchini Marekani kuwathamini mashabiki zao na hii imetokea tena kwa ‘Rapa’ Travis Scott ambapo alitoa pesa kiasi cha dola 5,000 ikiwa ni zaidi ya tsh 10 milioni, kwa shabiki. Hii inakuja baada ya shabiki huyo ambaye ni mfanyausafi wa ukumbi uliofanyika show hiyo kuendelea na majukumu yake ya kutoa uchafu, ndipo #Travis aliamua kumlipa ili aendelee kuburudika katika show yake hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live