Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Travis, Tems kwenye Albamu ya Tyla

Tyla PhAnnieReid 02 LR Cropped 1920x1080.jpeg Tyla

Tue, 19 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka South Africa, Tyla tayari ameachia listi ya nyimbo ambazo zipo kwenye albumu yake ambapo mwanamuziki Tems pamoja na Travis Scott wakiwa ni miongoni mwa wasanii waliosgirikishwa katika album hiyo.

‘Tyla’ likiwa ndiyo jina la album inatarajiwa kuachiwa rasmi Ijumaa hii Machi 22, ikiwa na nyimbo 14, huku ‘rapa’ Travis akishirikishwa katika remix ya ngoma ya ‘#Water’ ambayo ndiyo ilimleta mjini msanii huyo.

Wasanii wengine ambao wameshirikishwa katika album hiyo ni Kelvin Momo, Gunna, Skillibeng pamoja na Becky G.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live