Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tour ya mwisho ‘A Boy From Tandale’ kufanyika Marekani

7149 24126495 890976234401121 5495366073471467520 N 1 E1524821613374 TZW

Sat, 28 Apr 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki Bongo, Diamond Platnumz anarajia kufunga tour yake ya A Boy From Tandale katika mji wa Texas Marekani.



Tour hiyo ambayo imebaba jina la albamu yake mpya itafungwa rasmi July 21 mjini Texas. Pia Diamond anatarajia kufanya tour Marekani kwenye miji kadhaa kama Los Angeles na Chicago.

March 14, 2014 ndipo Diamond alizundua albamu hiyo, uzinduzi ulifanyika Nairobi nchini Kenya ambapo star wa muziki kutoka Marekani, Omario alihudhuria, hata hivyo hadi sasa tour ya albamu hiyo hajafanyika Tanzania.

Chanzo: bongo5.com