Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Top 15: Mastaa Afrika wenye wafuasi wengi zaidi Instagram, Diamond hayumo

Mastaa Afrikaa Top 15: Mastaa Afrika wenye wafuasi wengi zaidi Instagram, Diamond hayumo

Sat, 2 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa mtandao wa Africa Facts Zone unaotoa takwimu mbalimbali kuhusu muziki, wasanii na watu maarufu kutoka Afrika, umetaja orodha /Top 15 ya waAfrica wenye idadi kubwa ya followers katika mtandao wa Instagram.

Most Followed Africans on Instagram

1. Mohamed Salah - (51.17 million)

2. Davido - (24.5 million)

3. Tamer Hosny - (22.6 million)

4. Mohamed Ramadan - (20.3 million)

5. Yasmine Sabri - (19.3 million)

6. Mustafa Hosny - (18.3 million)

7. Ab De Villiers - (16.6 million each)

8. Candice Swanepoel - (17.8 million)

9. Hannah El Zahed - (17.7 million)

10. Yemi Alade - (16.9 million)

11. Ahmed Helmy - (16.5 million)

12. Dorra Zarrouk - (15.8 million)

13. Funke Akindele - (15.5 million)

14. Tiwa Savage - (15.2 million)

15. Wizkid - (14.892 million)

Wengine ni supastaa kutoka Bongo Fleva, Diamond Platnumz mwenye followers 14.874 na Amr Diab mwenye followers milioni 14.4, Sadio Mane ana milioni 11.6 huku Burna Boy akiwa na followers milioni 10.6.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live