Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Toboatoboa yabeba Watanzania zaidi

Toboa Toboaaaa Toboatoboa yabeba Watanzania zaidi

Fri, 24 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watanzania zaidi 50 wamepata nafasi ya kazi katika tamthilia ya Toboatobo inayoongozwa na mzalishaji na muandaaji wa filamu, Devotha Mayunga.

Akizungumza nasi, Devotha amesema idadi hiyo inajumuisha waigizaji 44 na watu wa operesheni tofauti 18 ambao wanakamilisha filamu hiyo.

"Hadi sasa hivi mimi mwenyewe narudisha vitu kwa jamii maana nina watu zaidi ya 50 nimewaajiri kupitia series yangu ya ToboaTobo," amesema Devotha.

Pia amezungumzia soko la nje ambapo amesema kwasasa changamoto yake ni ushindani tu. Amesema katika suala la vifaa na watalamu hakuna shida kwani wanao na vifaa pia vipo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live