Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tiwa adai kuwekewa sumu kwenye chakula

Tiwa Savage, Msanii Pekee Afrika Atakayetumbiza Tamasha La King Charles III.png Tiwa adai kuwekewa sumu kwenye chakula

Thu, 21 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka nchini #Nigeria Tiwa Savage amedai kuwa amekula chakula chenye sumu.

Tiwa kupitia Instastory ame-share picha za dawa ambazo anatumia kwa ajili ya kupambana na sumu hiyo huku akiandika ujumbe kwenye picha hiyo usemao ‘Food poison’.

Hata hivyo mpaka kufikia sasa #TiwaSavage hajaweka wazi sehemu aliyokula chakula hicho.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live