Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tiwa Savage kununua ndege binafsi

Tiwa Savage, Msanii Pekee Afrika Atakayetumbiza Tamasha La King Charles III.png Tiwa Savage

Wed, 13 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Tiwa Savage ameweka wazi kuwa anataka kununua ndege binafsi.

Tiwa amelithibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kueleza kuwa ni wakati wa yeye kurudi Nigeria kwa ajili ya kuendelea na kazi huku akiweka wazi kununua ndege binafsi.

Mwanamuziki huyo kwa sasa yupo katika kisiwa cha #Bahamas kilichopo nchini Caribbean kwa ajili ya kula bata.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live