Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tiwa Savage atumia mamilioni kufuta picha zake za nogo mitandaoni

Tiwa Tiwa Savage atumia mamilioni kufuta picha zake za nogo mitandaoni

Thu, 2 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa muziki Nigeria, Tiwa Savage amesema kuwa ametumia fedha nyingi kumlipa mtaalamu wa IT kuondoa video yake ya ngono iliyovuja kwenye mitandao.

"Hofu yangu kubwa kuhusu kuvuja kwa kanda yangu ya ngono ilikuwa kwamba mwanangu anaweza kuiona siku moja," amesema na kuongeza.

"Lakini niliwasiliana na mtaalamu wa IT ambaye alidukua video kutoka kwenye mtandao na kwenye simu ya kila mtu. Hivi sasa, huwezi kuipata popote hata kama ulikuwa umeihifadhi kwenye simu yako,” amesema Tiwa Savage.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live