Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tiwa Savage afuata nyayo za Beyoncé Knowles

4547 BN Pick Your Fave Beyonce And Tiwa Savage In Jacquemus 4 TZW

Mon, 12 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Stori za kitaa zinazomuhusu msanii wa muziki kutoka Nigeria, Tiwa Savage  ni kusaini  na  lebo ya Jay Z Roc Nation licha ya kuwa mpaka sasa bado haijawa wazi.



Tiwa kaamua kuonyesha kama yupo serious hivi na suala hilo kwa kuamua kufuata nyayo za mke wa Boss wake mtarajiwa yaani Beyoncé Knowles kwa kutinga sketi inayofanana naye. Wawili hao kwa wakati tofauti wameonekana waki-trending katika vazi la sketi ya Jacquemus ambayo kila mmoja ameonyesha uwezo wa kuivaa kwa aina yake.

:Picha za Beyonce katika vazi la Jacquemus





:Picha za Tiwa Savage katika vazi la Jacquemus 





Tuambie wewe unaona nani kaitendea haki sketi hiyo.

Chanzo: bongo5.com