Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Timeless ya Davido yaweka rekodi Billboard

Davido Timeless Album 1 Timeless ya Davido yaweka rekodi Billboard

Wed, 12 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Maajabu ya Album ya Davido "Timeless" Yanaendelea. Ndani ya Wiki hii Album Imeshika Nafasi ya Pili kwenye Chart ya "Billboard World Albums".

Hatua Hii Imefanya Album iweke Rekodi Maalumu katika Muziki wa Davido kwani Ndio Album ya Kwanza kutoka Kwake ambayo imewahi kufika kwenye Nafasi ya juu zaidi kwenye "Billboard World Albums Chart".

N.B. Billboard World Albums Chart, ni Chart ya wiki ya Billboard inayoonesha Album zinazofanya Vizuri Duniani kwa kuzingatia Streams, Mauzo, Usikilizwaji Redioni, Nakadhalika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live