Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tiketi shoo ya Rema 02 Arena 'Sold Out'

Rema Artist Live Pic Tiketi shoo ya Rema 02 Arena 'Sold Out'

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ikiwa yamebaki masaa kadhaa mwanamuziki wa Nigeria, Divine Ikubor maarufu kama Rema atumbuize 02 Arena jijini London, ukurasa rasmi wa ukumbi huo umetoa taarifa kwamba mpaka sasa tiketi zote za show hiyo zimeisha (Sold Out)

Ikiwa yamebaki masaa kadhaa mwanamuziki wa Nigeria, Divine Ikubor maarufu kama Rema atumbuize 02 Arena jijini London, ukurasa rasmi wa ukumbi huo umetoa taarifa kwamba mpaka sasa tiketi zote za show hiyo zimeisha (Sold Out) Rema ameweka rekodi ya kuwa Mwanamuziki wa tano kutoka Nigeria kuwahi kuuza tiketi zote katika ukumbi huo wenye uwezo wa kuingiza watu 20,000.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live