Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tiffah: Baba hana mtoto mwingine zaidi yetu

FAMILIA YA MONDII Tiffah: Baba hana mtoto mwingine zaidi yetu

Sat, 15 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hii kali! Mtoto wa Diamond, Tiffah amesema baba yao hana mtoto mwingine zaidi ya wao wawili, yeye na Nillan.

Kituko hicho wamekizungumza kwenye video ambayo Diamond ameiposti kwenye ukurasa wake wa Instagram ambapo anasikika Tiffah na Nillan wakisimama na baba yao na kumkataa mama yao.

Wamesema, wao wanaamini kwamba baba yao hana mtoto mwingine zaidi ya wao na kwamba mama yao ndiyo chanzo cha ugomvi uliosababisha familia yao isambaratike.

“Baba hana mtoto mwingine,” alisikika Tiffah akiungwa mkono na mdogo wake, Nillan.

Diamond alisikika akiwaambia kwamba yeye hana mwanamke mwingine zaidi ya mama yao na kwamba wakiumuona mama yao yupo na mwanaume mwingine anakuwa anashuti muvi kama ambavyo yeye wanavyomuona akiwa na wanawake wengine akishuti video.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live