Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

The Weeknd kuwapa kitu kizito Mashabiki

The Weekend Hiu Mwanamuziki kutoka Canada theweeknd

Wed, 10 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka Canada theweeknd amedokeza juu ya ujio wa Albam yake mpya na ya 3 huku akiwaacha mashabiki zake na maswali kibao

Mwanamuziki kutoka Canada theweeknd amedokeza juu ya ujio wa Albam yake mpya na ya 3 huku akiwaacha mashabiki zake na maswali kibao Kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost Cover za Albam zake mbili 'Dawn FM' , 'After Hours' kisha kuweka alama ya kuuliza ? kama ishara ya nini kinafuata baada ya Albam hizo. Lakini kwenye caption akaweka namba 3 hiyo yote kumaanisha ni Albam ya 3 inakuja

Chanzo: www.tanzaniaweb.live