Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tetemeko lasitisha 'Interview' ya Sean Paul

Sean Pauls Interview During Earthquake In Jamaica Goes Viral Worldwide Tetemeko lasitisha 'Interview' ya Sean Paul

Tue, 31 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa’ kutoka Jamaica Sean Paul anadaiwa kusitisha mahojiano baada ya tetemeko la ardhi lililoikumba jengo la #Kingston nchini humo.

Kwa mujibu wa vyombo vya habari vinaeleza kuwa ‘rapa’ huyo alikuwa akifanya mahojiano na msanii #TofuJack na producer wa muziki #DanZabludovsky, ndipo chumba kizima kikaanza kutetemeka ikapelekea kukatika kwa mawasiliano.

Hata hivyo inaelezwa kuwa msani huyo yupo salama na watu wengine, japo kumetokea uharibifu kidogo wa mali za watu katika kisiwa hicho.

Sean Paul anatamba na ngoma zake mbalimbali ikiwemo ya ‘Earthquake’ aliyo uachia mwaka jana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live