Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tessy aweka wazi kuwachanganya kimapenzi Beka na Aslay

Owen Mastory 1668403230125 Tessy aweka wazi kuwachanganya kimapenzi Beka na Aslay

Mon, 14 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bila shaka kila mtu anakumbuka kuwa na vuguvugu kubwa kuwa chanzo cha kuvunjika kwa kundi la yamoto bend ilisababishwa na Tessy Chocolate kudaiwa kuwachanganya Aslay na Beka Flavor kwa wakati mmoja.

Skendo hiyo imeonyesha haina ukweli wowote baada ya Tessy Chocolate kutokubaliana na skendo hiyo na kusema hakuwahi kuwa na mahusiano na mwanaume mwengine zaidi ya Aslay.

Pia, Tessy Chocolate alihusishwa kusababisha ugomvi wa Aslay na Diamond Platnumz baada ya kuhusishwa kuwa na mahusiano na Diamond Platnumz.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live