Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tessy ampa Aslay zawadi ya maua jukwaani

Tessy: Sijarudiana Na Aslay Tessy ampa Aslay zawadi ya maua jukwaani

Sun, 1 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kipaji cha Aslay Isihaka si cha kawaida kiasi ambacho kina uwezo wa kusuluhisha hadi migogoro.

Unaambiwa usiku wa kuamkia leo, mashabiki walishuhudia mzazi mwenzake Aslay, Tessy Chocolate akimpa zawadi ya maua yenye ishara ya upendo mkubwa wakati akitumbuiza jukwaani.

Wawili hao ambao walikuwa wapenzi na kisha kuachana wakiwa na mtoto mmoja .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live