Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tessy afunguka madai ya kununuliwa gari na Vunja Bei

Tessy Afunguka Madai Ya Kununuliwa Gari Na Vunja Bei Tessy afunguka madai ya kununuliwa gari na Vunja Bei

Sat, 9 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwenye Usiku wa Nandy na Lulu Diva wakati wa kuitambukisha na kutumbuiza ngoma yao ya MTAALAMU mwanamitindo na mwanamitandao Tessy Chocolate alikuwa ni miongoni mwa waliohudhuria.

Baada ya kufika alikutana na wana habari na kuulizwa baadhi ya maswali.

Miongoni mwa swali lilikuwa kuhusu kauli ya Mwijaku kuwa Vunjabei alimnunulia gari ili awe naye kwenye mahusiano. Majibu ya Tessy yalikuwa kama ifuatavyo.

"Fred ni mshikaji wangu ni rafiki yangu lakini kuhusu suala la kuninunulia gari hilo siwezi kuliongelea, watu wote tunamjua Mwijaku so tuachane naye tu," alisema Tessy.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live