Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tessy: Sijarudiana na Aslay

Tessy: Sijarudiana Na Aslay Tessy: Sijarudiana na Aslay

Fri, 29 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mrembo Tessy Chocolate amesema kwamba hawezi kurudiana na mzazi mwenziye staa wa Bongo Fleva, Aslay.

Kauli hiyo imekuja kufuatia Tessy kuonekana kwenye moja ya ngoma yake moya akiwa sambamba na mtoto wao na watu kuhisi huwenda wawili hao wamerudiana.

"Mimi na Aslay tupo vizuri tunamlea mtoto wetu lakini sio kurudiana. Uzuri wote tunafahamu kuwa hatuwezi kurudiana zaidi tunafanya biashara kwani sisi ni watu wazima," alisema Tessy.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live