Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Teni kuwatafutia Uraia wa Marekani Mbwa wake wanne

Teni Na Mbwa Wake Msanii wa Nigeria Teni Entertainer

Sun, 15 May 2022 Chanzo: eatv.tv

Ni Headlines za msanii wa Nigeria Teni Entertainer ambaye ameweka wazi kutaka kuwatafutia Uraia wa Marekani Mbwa wake wanne wanaofahamika kwa majina ya Tyg'r, Marley, Cindy na Nala.

Ni Headlines za msanii wa Nigeria Teni Entertainer ambaye ameweka wazi kutaka kuwatafutia Uraia wa Marekani Mbwa wake wanne wanaofahamika kwa majina ya Tyg'r, Marley, Cindy na Nala. Pia Teni ameeleza kuwa kupata hati za kusafiri kwa mbwa kunampa 'stress' zaidi kuliko alivyofikiria na anataka kwenda nao Marekani ndiyo maana anawatafutia uraia mbwa wake hao.

Chanzo: eatv.tv