Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tems ashinda tuzo ya Grammy - ya kwanza kwa msanii wa kike wa Nigeria

Tems Ashinda Tuzo Ya Grammy   Ya Kwanza Kwa Msanii Wa Kike Wa Nigeria Tems ashinda tuzo ya Grammy - ya kwanza kwa msanii wa kike wa Nigeria

Mon, 6 Feb 2023 Chanzo: Bbc

Mwimbaji wa Nigeria Tems alishinda tuzo ya Grammy siku ya Jumapili - na kuwa msanii wa kwanza wa kike kutoka nchini humo kushinda tuzo hiyo ya kifahari.

Mwimbaji wa Nigeria Tems alishinda tuzo ya Grammy siku ya Jumapili - na kuwa msanii wa kwanza wa kike kutoka nchini humo kushinda tuzo hiyo ya kifahari. Mwenzake Burna Boy alishindwa katika kategoria mbili alizoteuliwa. Tems, ambaye jina lake halisi ni Temilade Openiyi, alishinda tuzo katika kitengo cha Best Melodic Rap Performance kutokana na mchango wake katika wimbo wa Wait for U - alioshirikiana na wanamuziki Future na Drake.

Chanzo: Bbc