Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tems ageukia uigizaji

TEMS Mwimbaji Tems

Tue, 31 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Tems ameweka wazi kuwa kwa siku za hivi karibuni ataingia katika #uigizaji.

Kufuatia mahojiano yake hivi karibuni na #BBC Capital Xtra #London, ameweka wazi kuwa sio tuu kuimba hata kwenye uigizaji yuko vizuri huku akieleza kuwa anatamani kuigiza nafasi ya jambazi.

“Niko tayari kuigiza sinema, ila siko tayari kwa sasa lakini niko vizuri katika kuigiza na uhusika ninao tamani kuucheza ni mama asiye na mume na mwenye maneno mengi na mafumbo au jambazi”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live