Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tems afungukia ujauzito wake

Tems Nigeria Mwimbaji Tems

Fri, 22 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwimbaji Tems amefunguka baada ya taarifa kusambaa kwenye mitandao ya Kijamii kuwa ana ujauzito wa rapa Future!

Mwimbaji Tems amefunguka baada ya taarifa kusambaa kwenye mitandao ya Kijamii kuwa ana ujauzito wa rapa Future! Leo kwenye ukurasa wake wa X, Tems ameuzika uvumi huo kwa kuandika “Kwa kuhitimisha, nyie watu wote mna wazimu.” ameandika Tems.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live