Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tems aanza mwaka na ushindi

Temsbaby 1706180209391.jpeg Tems aanza mwaka na ushindi

Thu, 25 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Tems ameendelea kuonesha makali yake katika kusukuma muziki kwenye mataifa mbalimbali, sasa ametangazwa mshindi kwenye Tuzo za Billboard Woman kwa mwaka 2024.

Licha ya kutangazwa mshindi siku ya jana Jumatano Januari 24, katika tovuti ya Billboard orodha hiyo ya washindi imejumuisha wasanii chipukizi na wanaojituma katika tasnia ya muziki, na wote watakabidhiwa tuzo zao mwezi Machi.

Billboard Woman in Music zinatalajiwa kutokewa Machi 6, mwaka huu katika ukumbi wa ‘YouTube Theater’ ulioko Inglewood, Califonia, ambapo Tems atapokea Tuzo hiyo ya mafanikio, Ice Spice kupokea Tuzo ya HitMaker, na Victoria Monét akipokea Tuzo ya Rising Star na wengineo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live