Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tems: Wanaijeria hawauelewi Muziki wangu

Tems Horiz 1024x576 Tems

Mon, 3 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Tems ametoa ya moyoni kwa mashabiki wa Nigeria akisema hadhani kama wanaelewa muziki wake anaoufanya bali wanamkubali kama mtu anayetokea Taifa hilo.

"Wa-Nigeria hawaelewi muziki wangu, sijui kama wanathamini muziki wangu lakini ninahisi wananikubali kama mtu wa Nigeria" amesema Tems Baby akifanya Interview na korty_eo

Unahisi kipi kifanya mashabiki wasiuelewe muziki wa Tems?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live