Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tems: Ukinioa mi i umepata "UA" adimu

Capture 6 Tems Msanii Tems

Fri, 21 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Tems amejipa maua yake kwa kudai kuwa mwanaume atakaye mchumbia au kuwa naye katika mahusiano basi atakuwa amepata ua adimu.

Mwanamuziki huyo aliyasema hayo wakati akiongea na mwigizaji #ChinasaAnukam kwenye Podcast ya ‘Is This Seat Taken’ akidai kuwa yeye ni ua adimu.

“Kuchumbiana na mimi ni kama kupata ua adimu ambalo linaonekana njeusi kutoka nje na unapolifungua, ni waridi, zambarau lakini katikati, kuna jiwe” amesema.

#Tems ambaye mpaka sasa hajaweka wazi mahusiano yake lakini amedai kuwa utu wake wa nje unaweza usiwe wa kuvutia ila ndani ni mrembo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live