Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tems: Namkubali Tyla na Asake

Tems: Namkubali Tyla Na Asake Tems: Namkubali Tyla na Asake

Fri, 27 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Tems ameweka wazi kuwa wasanii anaowapenda zaidi Afrika ni msanii kutoka nchini humo Asake Music na mwingine kutoka Afrika Kusini, Tyla.

Tems ameyasema hayo wakati akiwa kwenye mahojiano ya hivi karibuni na ‘Time 100 Next Gala’ New York, baada ya kuulizwa swali kuwa ni wasanii gani wa Afrika anawapenda zaidi na kueleza kuwa ni Asake na Tyla.

Tems amerudi tena mjini baada ya ukimya wa muda mrefu ambapo kwa sasa anatamba na wimbo wake mpya ‘Me & U’ alioachia mwezi mmoja uliopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live