Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Temba atoa neno ubalozi Temeke

Tembaa Temba atoa neno ubalozi Temeke

Fri, 18 Jun 2021 Chanzo: eatv.tv

Mh. Temba ametoa maoni yake mara baada ya Meya wa Manispaa ya Temeke Abdallah Mtinika kumtangaza mchekeshaji wa Kenya Erick Omondi kuwa balozi wa kuitangaza Wilaya ya Temeke

Submitted by Telesphory on Ijumaa , 18th Jun , 2021 Picha ya msanii Mh. Temba

Kuwa dhumuni la kuanzisha kundi lao la muziki ‘TMK Wanaume Family ilkuwa ni kuitetea Wilaya yao kimaendeleo kwa wananchi na pia kupambania muziki wa Tanzania.

Temba ni miongoni mwa waasisi wa Kundi la TMK Wanaume Family ambalo linarekodi nzuri juu ya mapinduzi ya muziki wa Tanzania, amezungumza nasi leo na kusema kuwa Meya alifanya uamzi wa haraka mno, na ametumia vigezo gani kumpata balozi?

Msikilize hapa zaidi

Chanzo: eatv.tv