Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tekno atangaza dili nono kwa mashabiki wake Afrika

3605 Capture 49

Mon, 26 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria, Tekno ametangaza dili nono kwa mashabiki wake wote barani Afrika ambao watakuwa na vigezo anavyovihitaji.

Tekno

Tekno amesema kuwa anahitaji Mwanamitindo/Model ambao atawatumia kwenye video yake mpya.

Kama unajiona una vigezo fuata maelekezo haya yafuatayo ili uweze kupata shavu la kutokea kwenye kichupa hicho, Andika hashtag ya #yourlovethevideo kisha posti video kwenye mitandao ya kijamii na usisahau kum-mention jina lake.

Teknoofficial Looking for a model, for my next music video! Pls Use this hashtag #yourlovethevideo on a new post if u are interested! Let’s find a beauty for This beast! #hit London, EastAfrica, WestAfrica, EU, Southafrica, #allAfrica

Chanzo: bongo5.com