Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tekno, Burna Boy kuachia dude

Tekno Burna Tekno, Burna Boy kuachia dude

Mon, 27 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tegemea muda wowote kuanzia sasa utatoka wimbo wa wasanii maarufu Nigeria, Augustine Miles Kelechi Okechukwu 'Tekno Miles' pamoja na Damini Ebunoluwa Ogulu MFR 'Burna Boyg'.

Hii imethibitishwa na Tekno Miles baada ya kuombwa na shabiki yake kuwa afanye wimbo na Burna Boy. Tekno amejibu kwamba wimbo upo jikoni ukiendelea kupikwa.

Unadhani ngoma hiyo itakuwa kali kiasi gani?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live