Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tbway kafunguka kuhusu kuvuja kwa picha yake ya kimahaba na Irene Uwoya

371 Screen Shot 2017 12 19 At 1.21.21 PM 660x400.png TZW

Tue, 19 Dec 2017 Chanzo: millardayo.com

Baada ya  picha za mahaba za muigizaji Irene Uwoya akiwa na mtangazaji Tbway kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, wengi walianza kuhisi kuwa inawezekana picha hizo zikavunja ndoa ya Dogo Janja na Irene Uwoya.

Kutokana na picha hizo kuvuja Dogo Janja aliweka wazi kuwa hawezi kugombana na mke wake Irene Uwoya kisa jirani kasema wagombane.

Ayo Tv ilijitahidi kumtafuta Tbway ili aongelee ishu hiyo ambayo ilileta gumzo katika mitandao ya kijamii na Tbway kufunguka na kusema “Hizo picha ni za movie na nilipost kabisa kwenye Instagram yangu, no sijaongea na Irene Uwoya na yeye anafahamu kabisa kwamba pale ilikuwa ni location”

AUDIO:Vanessa Mdee amekuwa msanii wa kwanza Afrika kupata dili hili

Chanzo: millardayo.com