Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tazama: Mjengo watatu wenye thamani alioachiwa Zari The Boss Lady na Ivan

SASAS 660x400 Tazama: Mjengo watatu wenye thamani alioachiwa Zari The Boss Lady na Ivan

Tue, 11 Aug 2020 Chanzo: millardayo.com

AyoTV mwaka jana iliweka kambi nchini South Africa huko Pretoria lengo lilikuwa ni kufanya mahojiano na Mrembo, Mjasiriamali Zari The Boss Lady akazungumza mengi kuhusu yakiwemo mahusiano yake na mengineyo.Sasa leo tumekusogezea mwendelezo wa nyumba aliyokuwa akiishi na mumewe Ivan yakiwemo na magari ya thamani.

Akizungumza na Ayo TV Zari The Boss Lady alifunguka na kusema ‘Hii nyumbani tulinunua kitambo sana lakini tulipoachana Ivan akaamua kuniachia hii nyumba mnayoiona hapa  na wakati huo alikuwa ni mtu ambae alikuwa anakuja kuwachukua watoto na kuondoka na kuwarudisha’-Zari The Boss  Lady

Hizi mali tulitafuta kwa pamoja na Ivan, haya magari unayoyaona yatatumiwa na watoto wetu huko mbeleni kwahiyo nashangaa watu wakiongea wasichokijua kuhusu mimi na Ivan’- Zari The Boss Lady

Chanzo: millardayo.com