Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tazama Alikiba na Zuchu wakutana, wakaa siti moja Dodoma

1B1A9067.02 50 45 26.Still005 660x400 Tazama Alikiba na Zuchu wakutana, wakaa siti moja Dodoma

Fri, 30 Apr 2021 Chanzo: millardayo.com

Ni Alikiba na Zuchu ni miongoni mwa wasanii waliohudhuria mkutano wa CCM unaoendelea mkoani Dodoma ambapo Rais Samia Suluhu Hassan ameibuka kuwa Mwenyekiti wa chama hicho kwa asilimia 100, Kura zilizopigwa ni 1862 na kura zote ni za ndio hakuna kura ya hapana.

Chanzo: millardayo.com